Skywood Media System inafanya iwe rahisi kuangalia vifurushi vya media, kugundua matukio na fursa, kuchagua huduma unayoipendelea na kusimamia booking na maombi yako.
Chagua huduma za media zilizopo kwa sasa. Kila kifurushi kinaweza kuwa na chaguo za ziada.
Gundua matukio yajayo yaliyoandaliwa au kutangazwa na Skywood Media System.
Angalia kazi, majukumu, assignments za media na fursa nyingine zinazotolewa kupitia Skywood Media System.
Angalia posters, video, audio na media nyingine zilizowekwa na Skywood Media System.
Animated motion graphics from Skywood Media System.
THIS WILL HELP YOU TO CREATE YOUR ACOUNT AND ACCESS OUR SERVICES
Skywood Media ni kampuni inayojihusisha na media na uzalishaji wa kazi za ubunifu, inayoongozwa na Bencico Creativity. Tunajikita katika kutoa suluhisho za media zenye ubunifu, ubora wa hali ya juu na zenye matokeo kwa watu binafsi, biashara, mashirika na matukio.
Tunatoa huduma za upigaji picha, videography, live streaming, uzalishaji wa maudhui ya kidijitali, matangazo, maudhui ya mitandao ya kijamii, coverage za matukio na huduma mbalimbali za ubunifu wa media. Lengo letu ni kubadilisha mawazo, hadithi na chapa kuwa uzoefu wa kuvutia wa kuona unaounganisha hadhira na kuleta matokeo yenye kudumu.
Skywood Media β Powered by Bencico Creativity.
Katika Skywood Media, tunaunganisha ubunifu, teknolojia, weledi na storytelling ili kutoa suluhisho zinazokidhi mahitaji ya kipekee ya kila mteja. Kuanzia kunasa matukio muhimu, kutangaza chapa hadi kuzalisha maudhui yanayovutia ya kidijitali, tumejikita katika ubora na weledi katika kila mradi.
Kwa maelezo zaidi kuhusu huduma, miradi na suluhisho zetu za ubunifu, wasiliana moja kwa moja na Skywood Media.
Tafadhali soma masharti ya msingi ya kutumia huduma za Skywood Media System.
Wateja wanawajibika kutoa taarifa sahihi wakati wa kutuma booking au ombi.
Booking au ombi halitachukuliwa kuwa limethibitishwa mpaka litakapopitiwa na kuthibitishwa.
Bei za vifurushi, matukio na fursa zinaweza kubadilika.
Wateja wanapaswa kukagua taarifa zao kabla ya kutuma booking au ombi.
Kwa kutumia mfumo huu, unakubali kutoa taarifa za kweli na kutumia huduma kwa madhumuni halali.
Angalia vifurushi, gundua matukio au tafuta fursa inayokufaa.